top of page
Mafundisho
NYAKATI YA PILI YA KANISA, SIMIRNA.
Leo tunatazama kanisa la pili baada ya Efeso, yaani nyakati ya pili ya kanisa. Au kutakaswa kwa kanisa la kwanza. Kumbuka kanisa la kwanza liliacha upendo wa kwanza, lakini pia watu wale mbali na malaika wa kanisa lile (Paulo), walikuwa wanataka maziwa yaani mafundisho ya awali ya Kristo wala si chakula kigumu kama Paulo alivyowanena katika waebrania 5:10-14. Hivyo Bwana Yesu ili kuwatakasa kosa la kupungua kwa upendo aliwajaribu ikiwa bado wanampenda, akaruhusu mafundisho ya
7 days ago3 min read
Â
Â
Â
NYAKATI YA KWANZA YA KANISA, EFESO.
Ndipo kwa sababu hiyo aliuacha upendo wa kwanza, alikuwa sahihi kabisa kumkemea Petro, na kila alichokuwa anakifanya lakini naye akaanza kupoa mwishoni mwa huduma yake kama Petro. Akachukuliana na wabaya (wayahudi) hao hao aliwahukumu hawataingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya sheria.
7 days ago5 min read
Â
Â
Â


KANISA LA MUNGU/KRISTO KATIKA NYAKATI SABA.
Hivyo makanisa saba ni nyakati saba za kanisa la Kristo, yaani kanisa moja linapita katika majira saba ya kutakaswa kwake. Kila wakati kanisa linapopokea ufunuo wa Mungu na kutoka hatua moja kwenda nyingine, linapotoka linaacha dhehebu ambalo halikuamini ufunuo wa Mungu uliokuja kuwatakasa ili kwenda hatua inayofuata.
7 days ago4 min read
Â
Â
Â


KANISA LA MUNGU/KRISTO NI LIPI?
Hivi ndivyo kanisa linageuka kuwa dhehebu, likiisha kukataa kupokea ufunuo wa Mungu, linabaki kama dongo la fedha (fedha pamoja na udongo wake). Yeremia alihubiri kanisa lile wakubali kusafishwa, waondoe uchafu wao, nao wakakataa wakijiona wanalo neno la Mungu. Lakini walikuwa kama dongo la fedha wala si fedha yenyewe, naam hawakuwa katika matumizi yoyote maana fedha isiposafishwa haina matumizi.
Oct 166 min read
Â
Â
Â


KURUDI KWA YESU KRISTO MARA YA PILI NI PIGO LIFURIKALO
Kurudi kwa Kristo ni kitendawili kigumu, hasa katika nyakati hizi. Kulingana na ufunuo wa damu na nyama unaoongoza kanisa la wakristo,...
Sep 126 min read
Â
Â
Â


KUPATWA KWA MWEZI HUMAANISHA NINI KATIKA ROHO?
Jana tarehe 7 ya mwezi huu wa 9, 2025 limeonekana tukio la nadra sana kutokea, mwezi ulikuwa kama damu. Tukio hili huitwa kupatwa kwa...
Sep 83 min read
Â
Â
Â


UFUNUO NA INJILI YA NYOKA.
Shalom, Karibu katika Neno la Mungu, Bwana na akujalie kula chakula kigumu, kwa kuwa nimeshuhudiwa hakika ya kuwa mngali watoto wadogo...
Aug 227 min read
Â
Â
Â


TUNDA GANI ADAMU NA HAWA WALIKULA?
Tunda hili lilikuwa chanzo cha mauti kwa mwanadamu, Baba yetu Adamu na mama yetu Hawa walikula tunda hili wakaleta mauti duniani. Lakini tunda hili lipo hata sasa na kanisa na watu wote jamii wangali wakilila.
Shalom, Karibu tena katika Neno la Mungu. Na moja kwa moja tutazame habari hii katika kitabu cha Mwanzo 2:16-17
Aug 184 min read
Â
Â
Â


KALAMU YA UONGO YA WAANDISHI IMEIFANYA BIBLIA KUWA UONGO
Shalom, Karibu katika Neno la Mungu, na moja kwa moja tusome maandiko katika Yeremia 8 8 Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana...
Aug 93 min read
Â
Â
Â


UFUNUO WA DAMU NA NYAMA NA UFUNUO WA MUNGU
Shalom, Karibu katika Neno la Mungu, hekima ya Mungu ikupayo uzima. Kanisa au dini yoyote na hata katika Elimu ya ulimwengu huu...
Aug 64 min read
Â
Â
Â


HATA SASA MNGALI MKIHITAJI MAZIWA
12 Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.
13 Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.
14 Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.
Aug 14 min read
Â
Â
Â
bottom of page