top of page
NYAKATI 7 ZA KANISA
NYAKATI YA NNE YA KANISA, THIATIRA
Yezebeli alikufa miaka mingi kabla ya maneno haya ya kitabu cha ufunuo kuandikwa, hivyo mwanamke huyu hana uhusiano wowote na kilichoandikwa, lakini Yezebeli anayezungumziwa hapa ni kanisa. Kwa sababu Mwanamke hufunua kanisa, dhehebu au dini fulani. Hivyo Columban alilidhia mafundisho ya kanisa ambalo linaenda kwa mafundisho kama yale ya Yezebeli, kuwafanya watu walioacha dhambi wairudie dhambi kana kwamba ni kumheshimu Mungu.
Nov 156 min read
Â
Â
Â
NYAKATI YA TATU YA KANISA, PERGAMO.
Fundisho lingine lilikuwa kuheshimu wanadamu (watakatifu waliokufa) zaidi kuliko injili zao au matendo yao. Hii ilipelekea kuwatumikia wafu kwa kazi zao walipokuwa hai badala ya kumtumikia Mungu kama wao au kwa mfano wa matendo yao. Inaitwa kusujudia watakatifu waliokufa (Veneration). Maana ni sawa na mtu aliyeokota ganda la ndizi akalipanda katika nchi akitazamia litazaa ndizi.
Nov 66 min read
Â
Â
Â


NYAKATI YA KWANZA YA KANISA, EFESO.
Ndipo kwa sababu hiyo aliuacha upendo wa kwanza, alikuwa sahihi kabisa kumkemea Petro, na kila alichokuwa anakifanya lakini naye akaanza kupoa mwishoni mwa huduma yake kama Petro. Akachukuliana na wabaya (wayahudi) hao hao aliwahukumu hawataingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya sheria.
Oct 175 min read
Â
Â
Â


HATA SASA MNGALI MKIHITAJI MAZIWA
12 Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.
13 Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.
14 Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.
Aug 14 min read
Â
Â
Â
bottom of page