top of page

INJILI YA NYOKA
Mwanzo 3 inatoa injili aliyokuja nayo nyoka kwa Adamu na hawa, kanisa la kwanza.


TUNDA GANI ADAMU NA HAWA WALIKULA?
Tunda hili lilikuwa chanzo cha mauti kwa mwanadamu, Baba yetu Adamu na mama yetu Hawa walikula tunda hili wakaleta mauti duniani. Lakini tunda hili lipo hata sasa na kanisa na watu wote jamii wangali wakilila.
Shalom, Karibu tena katika Neno la Mungu. Na moja kwa moja tutazame habari hii katika kitabu cha Mwanzo 2:16-17
Aug 184 min read
Â
Â
Â
bottom of page